Keki ikikatwa na Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership kwa kushirikiana na Shamim Khan kulia na Edna Mdoe kutoka Tazania women Interfaith Network.
Shamim Khan (kulia) na Edna Mdoe wakisoma hotuba kutoka Tazania women Interfaith Network.

Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake
lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada
anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global
Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8.
Mmoja wa watoa mada akitoa mada.
Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake
lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada
anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global
Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani
ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8.
Wadau mbalimbali.
Watoa mada wakipata picha.
Meneja Masoko kutoka Jubilee Insurance, Francisca Mushi akizungumza.
Baadhi ya watoa mada wakibadilishana mawazo.
Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano hilo.
Taus Likokola akifuatilia Mada.
Modesta Mbughuni Mwenyekiti wa Malengo Women akitoa mada katika Kongamano hilo.
Wadau wa kongamano wakifuatilia mada.
Wadau mbalimbali waliohudhuria katika Kongamano wakipata picha ya pamoja.
mtoa mada-Gloria Shechambo katika kongamano lililofanyika Serena Hotel Dar es salaam.
Belinda Mlingo Katibu wa NGO ya TASOI
Dr Chris Mauki Kutoka chuo Kikuu cha Dar essalaam

Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership.
washiriki.
Bidhaa mbalimbali.
Bidhaa mbalimbali za vipodozi.
Bidhaa mbalimbali.
Burudani mbalimbali.
Bidhaa mbalimbali.
wakisalimiana.
Baadhi ya wanawake waliohudhuria katika Kongamano wakifurahia jambo.
Baadhi ya wanawake walioshiriki katika kongamano la wanawake lililofanyika Serena Hoteli jijini Dar es Salaam jana wakifuatilia mada anuai. Kongamano hilo liliandaliwa na Taasisi ya Vital Voices Global Partnership limefanyika kuelekea maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ifikapo Machi 8.

upande wa Kushoto ni Emelda Mwamanga kutoka Vital Voices Global Partnership na upande wa kulia Belinda Mlingo Katibu NGO ya TASOI

No comments:
Post a Comment