Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimkabidhi funguo wa bajaji Mwenyekiti wa kikundi cha Chama cha Madereva wa Bajaji cha Mikocheni kwa Kairuki (Chamabavi) John Roberto baada ya kupewa mkopo huo wa bajaji.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimpongeza Bi Shamsa saidi baada ya kukabidhi mkopo wa pikipiki.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akiwasha bajaji huku pembeni yake (aliekaa) ni Mwenyekiti wa kikundi cha Chama cha Madereva wa Bajaji cha Mikocheni kwa Kairuki (Chamabavi) John Roberto baada ya kupewa mkopo huo wa bajaji.
Bajaji zikiwa nje ya ofisi za Twiga Bancorp tawi la Mlimani City.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Twiga Bancorp, Solomon Haule akimsaidia kuwasha bajaji mwanamama wa kikundi kati ya waliopata mkopo kutokea benki hiyo.
No comments:
Post a Comment