HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 15, 2016

WAZIRI MKUU, MAJALIWA AKUTANA NA MWAKILISHI WA BIASHARA WA UINGEREZA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (katikati) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (kulia) Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (katikati) Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose (kulia) na Mwakilishi wa Biashara wa Uingereza nchini Tanzania, Lord Clive Hollick (katikati) baada ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 15, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad