HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 18, 2016

WAZIRI MAKAMBA ATEMBELEWA NA VIONGOZI KUTOKA MFUKO BINAFSI TANZANIA.

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akiskiliza kwa makini ujumbe uliomtembelea Ofisini kwake toka Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba akizungumza na ujumbe uliomtembelea Ofisini kwake kutoka Mfuko wa Sekta Binafsi Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad