Sehemu ya Wadau na Waandishi wa Habari walioshiriki kusikiliza Tamko la Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mh. January Makamba lililotolewa kwa niaba na Naibu Waziri wake , Mheshimiwa Luhaga Mpina katika Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam leo.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira, Mheshimiwa Luhaga Mpina akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Siku ya Mazingira Barani Afrika inayofanyika kila tarehe 3 ya Mwezi Machi ikiwa ni pamoja na kuwakumbusha Watanzania kushiriki katika kutekeleza jukumu la kufanya usafi wa mazingira linalofanyika kila juma mosi ya mwisho wa mwezi Kitaifa.
No comments:
Post a Comment