Naam Wadau wa Libeneke hili la Mtaa kwa Mtaa Blog ambalo lipo Jirani sana na Mitaa Mbalimbali ya Changanyikeni na Mitaa mingine zaidi hapa Nchini, Katika Katiza Katiza za Mtaa kwa Mtaa nilikutana na Kijana huyu Pichani Jina lake Kapuni akiwa amebeba Sahani ya Kubebea Chakula na akielekea kufwata Chakula alichoagizwa Nyumbani, Sintoweza kuelezea kilichokuwa kikitokea Njiani kwa Binti huyu Bari Nikukalibishee Ujionee mwenyewe Mfululizo wa Taswira hapa Chini kisha Ubaini mwenyeweeee..
Wednesday, February 24, 2016

Home
Unlabelled
TUWE MAKINI PINDI TUNAPO WAAGIZA WATOTO KUNUNUA CHAKULA...
TUWE MAKINI PINDI TUNAPO WAAGIZA WATOTO KUNUNUA CHAKULA...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment