HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 29, 2016

RAHA YA UKULI UWE NA MZIKI BWANAAAA.....

Mbeba Mizigo huyu Pichani alinaswa na Kamera yetu akiwa na Kipando chake akisukuma Gunia la Mkaa Mitaa ya huku kwetu huku Masikio yake yakiwa yanapata Burudani ya Mziki Mnene na kuona Kazi yake hiyo kuwa Nzuri na kuwa Rahisi yaani kuondoa Ugumu wa Kazi kabisa pindi asikilizapo Mziki Mnene hata kama anako peleka Mzigo ni Mbali basi hapo lazima pawe Karibu tuu..
Kuli huyo akinata na Biti huku akisukuma Gunia hilo la Mkaa...
Akitamani asimame Acheze kidogo lakini Gunia lilionekana kumtinga...
Maji walaaa hayawezi Kumzuru kwasababu ya Mziki Mnene...
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad