Pita pita za hapa na pale kukutafutia Ugari Mdau wa Mtaa kwa Mtaa nikakumbana na Taswira hii ya Nyau akiwa Dukani katika Biashara kama alivyo Naswa hapo na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Blog Mitaa ya hukuhuku Changanyikeni Uswazi kwa Mjomba.
Thursday, February 18, 2016

Home
Unlabelled
NYAU KAACHIWA DUKA LEO....
NYAU KAACHIWA DUKA LEO....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment