HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 16, 2016

MWELEKAAA CHINIIIIII NA BODABODA.......

Vijana hawa Pichani wakiwa chini Chalii mara baada ya kupiga Mweleka na Pikipiki walio kuwa wamepanda Mskaki kuwazidia maarifa na kuwa Bwaga Chini kama waonekanavyo hapo katika Taswira...
Hapo walionekana kujicheka kutokana na Uzembe wao wa kuto zingatia Sheria na kupelekea kubwagwa Chini kama Sarafu iliyodondoka kwa Bahati Mbaya..
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad