HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 22, 2016

MUONEKANO WA DARAJA LA WATEMBEA KWA MIGUU LA FURAHISHA JIJINI MWANZA, LITAKAVYOKUWA BAADA YA KUKAMILIKA

Baada ya Serikali kukamilisha Ujenzi wa Darala la juu la Watembea kwa Miguu katika Eneo la Mabatini Jijini Mwanza na kupunguza wingi wa ajali pamoja na msongamano wa magari katika eneo hilo, Sasa juhudi zimehamia katika eneo la Furahisha Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza ambapo pia linajengwa Daraja la juu la Watembea kwa Miguu ili kukabiliana na foleni katika eneo hilo ambalo limejengwa pia Kitega Uchumi cha Kisasa cha Rock City Mall ambayo ni Mall (Soko) Kubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.

Kamera ya Binagi Media Group imenasa picha za daraja hilo litakavyokuwa baada ya kukamilika hivyo enjoy kuzitamaza na uvute picha namna Mwanza inavyoendelea kuboresha miundombinu yake.
Ukifika Mwanza, Make Sure unafika Rock City Mall Mwanza.
Imeandaliwa na George Binagi-GB Pazzo @BMG.

1 comment:

  1. "Rock City Mall ambayo ni Mall (Soko) Kubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati"????????

    HAHAHAHA....GET YOUR FACTS RIGHT

    ReplyDelete

Post Bottom Ad