HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 4, 2016

muonekano mpya wa taa za kuongozea magari

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa katika pita pita zake imeinasa taswira hii mwanana kabisa ya muonekano mpya wa taa za kuongozea magari katika makutano ya Barabara ya Mandela na Chang'ombe rodi, Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad