HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 29, 2016

Mabweni ya shule ya Sekondari Iyunga jijini Mbeya yateketea kwa moto, chanzo bado hakijafahamika

Askari wa Kikosi cha Zimamoto Jijini Mbeya, akiendelea na jitihada za kuuzima moto unaoendelea kuwaka na kuteketeza Mabweni ya shule ya Sekondari Iyunga jijini humo, chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa, na jitihada za kuuzima zinaendelea.
Kikosi cha Zimamoto Jijini Mbeya, kikiendelea na jitihada za kuusima moto huo.
Baadhi ya Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Iyunga jijini Mbeya, wakiwa wakiwa nje ya Shule yao wakiangalia bila kujua cha kufanya wakati Mabweni yao yakiteketea kwa moto. Picha na habari kamili itawajia baadae kidogo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad