HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 18, 2016

LABDA USITOKE HUMO NDANI NAKWAMBIAA.....

Mteja wa Saluni alianzisha Vurumai mara baada ya kutohelewana na Fundi wake katika makubaliano yao walio kubaliana hali iliyo pelekea Mteja kubeba Zinga la Jiwe huku akiporomosha maneno kwa Fundi wake aliyejifungia ndani mara baada ya kuona Mteja wake hataki kumsikiliza na kutaka kumjeri tuu..
"Labda Ulale humo humo nakwambiaaaaa"
"Leo utanitambua mimi ni nani...."
"Wazooo wa kuwazoeee lakini sio Mimi nakwambiaaa.."
"Na Siondoki hapa."
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad