HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, February 23, 2016

KUMBUKUMBU YA KIFO CHA LUCAS MKANDYA.

Mpendwa wetu Lucas Makaya Mkandya.
Nimwaka mmoja wenye huzuni tangu ulipofariki dunia.

Masaa, siku, wiki, miezi na hatimaye leo mwaka mmoja, toka siku ile ulipotutoka tarehe 25-2-2015.

ulipotuacha kwa majonzi ya kutokuamini Kama kweli umeondoka, lakini kwetu ni kama jana tu maana Upendo na Busara zako kwetu bado upo nasi na utaendelea kuwa nasi milele kiroho. 

Lucas Makaya Mkandya
unakumbukwa sana na Mke wako Mariam Mkandya, mwanao Alice Mkandya, Dada zako, wadogo zako na ndugu na jamaa wote. 

Warumi 14:7-9.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad