Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu (kushoto) akimpongeza Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, CP Nsato Marijani baada ya kumuapisha jana Makao makuu ya Jeshi la Polisi. CP Nsato Marijani amepandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa
Polisi, CP Simon Sirro baada ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu
Kamishna wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa
Polisi, CP Albert Nyamuhanga baada ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa
Rais ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka
Naibu Kamishna wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua
kuwa Kamishna wa Fedha na Logostiki wa Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa
Polisi, CP Robert Boaz baada ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais ya
Jamuhuri wa Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka Naibu
Kamishna wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa
Kamishna wa Intelijensia wa Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu akimuapisha Kamishna wa
Polisi, CP Nsato Marijani baada ya kupandishwa cheo na Mheshimiwa Rais
ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, kutoka
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo
pia amemteua kuwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment