HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 23, 2016

MWANA USWAZI AKIUNESHA USWAZI WAKE HUKU MTAANI KWETU...

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilimnasa mwana Dada huyu Pichani akiwa amekunyata zinga la Tonge la Ubwabwa Mitaa ya Changanyikeni kwetu huku Akidhihirisha dhairi kuwa huku hakuna kumuonea haya Mtu wakati wa kukionyesha Kipaji chako katika ubinafsishaji wa matonge ya Ubwabwa katika Hafra yoyote ya Mtaa..
"Rahaaa ya Wali uufinyeee Bwanaa.."
Hapo Mwanadada wa Kitaani kwetu akiwa na Tonge lake Mkononi huku akitafuta Mbinu ya kulipata Tonge kubwa zaidi ya hilo..
#Kamerayamtaakwamtaablog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad