Mtoto katika ubora wake.
Watoto wakifurahia mchezo wa kusukuma Gurudumu la Pikipiki juu ya kivuko cha mtalo wa kupitisha maji kama walivyokutwa na kamera yetu mkoani katika kijiji cha Namayuni mkoani Lindi mwishoni mwa wiki.
Picha na Avila Kakingo wa Globu ya Jamii.
No comments:
Post a Comment