HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 28, 2016

MAUNO YA BABA NANIHII AKIFIKA DUKANI KWA BINTI WA KITAA...

Baba nanihii alinaswa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa akikata Mauno ya uhakika kwa Binti muuza Duka hapa Mtaani kwetu...
Kutoka Shoto ni Binti muuza Duka Jina lake Kapuni akiwa katika Uso wa Kumkasirikia Baba Nanihii Kulia kutokana na tabia yake ya kumkatia Mauno badala ya Kumuungisha...
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad