Mkurugenzi wa Ufundi wa TBL Group kanda ya Afrika Mashariki Gavin Van Wijk akiongea na wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati wa hafla ya kuwapongeza na kuwatunu vyeti na zawadi wafanyakazi walioitumikia kwa muda mrefu.
Meneja wa TBL Group wa kiwanda cha Dar es Salaam,Calvin Martin akiongea na wafanyakazi wakati wa hafla ya kuwatunuku vyeti na kuwapongeza wafanyakazi walioitumikia kampuni hiyo kwa muda mrefu hafla hiuyo iliyofanyika jana jijini DaresSalaam.
Mkurugenzi wa Ufundi wa TBL Group kanda ya Afrika Mashariki Gavin Van Wijk (kulia) akimkabidhi cheti mmoja wa wafanyakazi waliotumikia kampuni ya TBL kwa muda mrefu miaka 35 Sylivester Kunambi wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Ufundi wa TBL Group kanda ya Afrika Mashariki Gavin Van Wijk (kulia) akimkabidhi mfanyakazi wa kampuni ya DarBrew(Chibuku) Leonora Nyalusi cheti cha utumishi wa muda mrefu miaka 35. wakati wa hafla hiyo iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Wakurugenzi waandamizi wa idara mbalimbali za kampuni ya TBL Group wakiwa kwenye hafla ya kuwatuku vyeti na kuwapongeza wafanyaakazi walioitumikia kampuni hiyo kwa muda mrefu.
Baadhi ya Wafanyakazi wa kampuni ya bia Tanzania (TBL) wakishiriki katika hafla ya kuwatunuku vyeti na kuwapongeza wafanyakazi walioitumikia kampuni hiyo kwa muda mrefu iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa kampuni ya TBL wakiserebuka wakati wa hafla ya kuwatunuku vyeti na kuwapongeza wafanyakazi walioitumikia kampuni hiyo kwa muda mrefu iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment