Kamera ya Mtaa kwa Mtaa na Taswira Mbalimbali katika Mtanange wa Mechi za Mchangani zinazo chezwa huku kwetu Uswahilini kwa Lengo la kuwakutanisha Vijana wawe katika hali ya usawa na kuwa na Maadili meme kwa mafunzo ya kuwatii Wazazi wao Ndugu Jamaa na Marafiki, na hapo Pichani ni Vijana wakiwa wameshikana katika Mtanange wao ulio husisha Vijana wa Sinde na Lyoto Jijini Mbeya, ambapo Sinde iliibuka mshindi kwa kuibugiza Lyoto Gori 2-1...PICHA ZOTE NA MR.PENGO WA MTAA KWA MTAA BLOG.
Moja ya Mchezaji wa Timu ya Sinde akufahamika Jina akiwa amekumbatia Tope la maji la kuzidi katika Uwanja wa Isanga Jijini Mbeya..
Hatoki Mtu hapaa..
Kichwa Tani Tano katika shambulio la Kiongo Mchezaji wa Lyoto Jezi ya Bluu...
Gori Kipa akijiongeza katika mbinu za kuto Kavuka Koo kwa kushushia Kinywaji Baridi na murua kabisa Gorini kwake..
#Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment