HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 18, 2016

iliyotufikia hivi punde: fujo zatawala eneo la Bonde la Mkwajuni, Polisi wafika kutuliza

Hali si shwari hivi sasa katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni jijini Dar es salaam, na inaelezwa kuwa hali sio shwari kwani baadhi ya Wananchi wamechoma mataili pande zote za barabara na hakuna gari kupita. Jeshi la Polisi lipo eneo la tukio hivi sasa kukabiliana na tukio hilo ambalo chanzo chake unadaiwa ni baadhi ya vijana wanaodaiwa kuwa walikuwa wakazi wa eneo lililobomolewa ambao wameingia barabarani na kufanya fujo. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad