HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 16, 2016

HIKI NDICHO TUNACHO JIVUNIA HUKU CHANGANYIKENI KWETU....

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa iliibukia kwa kina Mitaa ya Forest ya Zamani huko Jijini Mbeya na kukuta hali ya mambo jinsi ambavyo si Rafiki.. katika Taswira hapo juu ni Mdau Mkazi wa Forest Jijini Mbeya akiwa ametaharuki kwa kushika Kiuno kuona hali ya Mtaani kwao ikiwa imebadilika kutokana na Maji yaliyo jaa kutokana na Mvua za Kifurushi cha bila kikomo zinazo endelea kunyesha huko Jijini Mbeya.
"Mwaka huu Mbona nipo kuhama huku duu..."
Mwana Dada Mkazi wa Forest Jijini Mbeya akiwa amejitosa kutia Nanga ndani ya Maji hayo katika Kivuko cha Miguu Eneo hilo...
Utake usitake lazima Upige Mbizi hapooo..

 #Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad