Katika pita pita za Mtaa kwa Mtaa, leo niliibukia maeneo ya Sinza na kukutana na Fundi huyu machachari kabisa wa Magani, ambapo amekuwa kivutio kikubwa kwa namna anavyoutumia uzoefu wake katika kupiga spana, kwani alikuwa anapiga mzigo kwa makeke ya kulala juu ya injini ya gari hiyo huku akiendelea na mzigo.
Fundi akibadili mapozi ya kupiga spana.
No comments:
Post a Comment