
Balozi mstafu wa Tanzania Nchini India ambaye pia ni mwalimu katika chuo cha diplomasia Balozi Ahmed Kiwanuka akitoa mhadhara kuhusu namna Tanzania inavyoweza kutekeleza diplomasia ya uchumi kupitia sekta mbalimbali na kwa kutumia makundi mbalimbali
Baadhi ya washiriki walioshiriki kongamano hilo ambalo limeandaliwa na Wanafunzi,wahitimu na marafiki wa chuo cha diplomasia katika ukumbi wa chuo hicho kilichopo kurasini jijini Dar es Salaam, ambapo kongamano hilo limeandaliwa na uongozi wa serikali ya wanafunzi wakishirikiana na wahitimu wa Kozi mbalimbali za mwaka wa masomo 2014/2015
Washiriki wa kongamano hilo.




No comments:
Post a Comment