Hapo ni kijana machachali katika maswala mazima ya kupiga Kagoo yaani Ndwika hususani katika Upakuwaji wa Magunia ya Mkaa, kama aonekanavyo Mdau huyo Pichani ni baada ya kunaswa na Kamera yetu akiwa amepozz mara baada ya kumaliza shughuli nzima ya kupakuwa mkaa kwenye Gari..
Alifurahi sana Kijana baada ya kuitwa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa aisalimu lakini Kamera yetu ilisita kidogo baada ya kukutana Uso kwa Uso na Mdau maana si unaona hapo kama katoka Somalia vilee...
Mwengine hapo hana Neno na Mtu yeye kapozz tuu katika Kokoteni...
#Kamerayamtaakwamtaablog.




No comments:
Post a Comment