1. Viko Mbweni usalama wa taifa, vina hati miliki, viko karibu na barabara ya lami na viko karibu na beach, vipo Sqm 600 – 1500, bei ni kuanzia milioni 35 mpaka 45.
2. Nyumba 3 zinauzwa, zipo Mwananyamala “A”, moja vyumba 12, nyingine vyumba 6 na nyingine vyumba 4. Zote zina leseni ya makazi, gari mpaka mlangoni, umeme upo. Kila moja bei milioni 65.
3. Nyumba yenye geti la gari, vyumba 4, kimoja master, umeme, sebule, dining, jiko, stoo, na hati miliki inauzwa. Ipo Mbagala Kuu, bei milioni 65.
4. Pia nyumba za milioni 65 – 70 zipo Mbweni na boko.
Mawasiliano 0784482959.

No comments:
Post a Comment