Studio party ulikuwa mjumuiko ulioleta furaha kwa wengi kama inavyoonekana katika kiwanja cha Maisha Club
Baadhi ya mayanki waliohudhuria Coke Studio party wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye ukumbi wa Maisha Club jijini Dar es Salaam.
Ilikuwa ni burudani kubwa vijana wakicheza muziki kwa furaha ndani ya Maisha Club
Vijana wakishiriki kuimba Coke Studio Party mkoani Mwanza
Zawadi mbalimbali zilitolewa katika party ya Mwanza kama anavyoonekana Masai akijichukulia zawadi katika party ya Mwanza.
DJ akinogesha mambo ya Coke Studio mjini Mwanza
Ma Dj walikuwa wakifanya mambo kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri
Watu wa rika mbalimbali walifika CokeStudio party kupata burudani kama wanavyoonekana baadhi yao pichani mjini mwanza.
Mamia waburudika na Coke-party ya kukata na shoka
Onyesho la muziki la Coke Studio ambalo linajumuisha Kolabo ya wanamuziki wa kitanzania kwa kushirikiana na wanamuziki wa Nje ya nchi limeanza kurushwa nchini kila Jumamosi kupitia Luninga ya Clouds ikiwajumuisha wanamuziki mahiri Ally Kiba,Vanessa Mdee,Ben Pol na Fid Q ambao wanashirikiana na wanamuziki Wangechi,Maurice Kirya,Victoria Kimani na 2Face.
Baada ya uzinduzi huo zilifanyika party za kufa mtu katika viwanja vya maraha katika mikoa mbalimbali nchini ikiwemo mikoa ya Dar es Salaam,Mwanza,Mbeya na Arusha zilizowajumuisha vijana kucheza muziki,kuimba na kujishindia zawadi mbalimbali za Coca Cola






No comments:
Post a Comment