Mpigapicha
Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Standard Newsapapers (TSN) Limited,
wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo
Jumapili na Spotileo, Mohamed Mambo anasikitika kutangaza kifo cha mke
wake Margaret Amon Mwaisaga (pichani) kilichotokea Hospitali ya TMJ
15.09.2015.
Msiba upo nyumbani kwa familia ya marehemu Mikocheni nyumba namba 87 barabara itokayo Clouds FM kwenda Kanisa la Mchungaji Rwakatare na mazishi yatafanyika siku ya Ijumaa makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kunzia saa sita.

No comments:
Post a Comment