HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 9, 2015

SAMY COOL PRODUCTION WAENDELEZA KUTOA HUDUMA YA MAZOEZI JIJINI DAR

 Mwalimu Hasani Gigoro akitoa mafunzo ya Dance kwa ajili ya mazoezi ya kupunguza kitambi na kupunguza unene  mazoezi hayo ambayohufanyika kila siku ya juma tatu kuazia saa kumi na mbili jioni, mpaka saa mbili usiku  kujiunga na mazoezi hayo ya dance kiingilio ni Tsh 5000/=  mazoeo hufanyika katika viwanja vya Mzalendo Pub Kijitonyama leo Jijini Dar es Salaam.

Mazoezi ya viungo ya kudensi yakiendelea kwa umakini wa hali ya juu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad