HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 20, 2015

MPIGA PICHA WAKITAA KATIKA UBORA WAKE...

Mpiga Picha wa Kitaa akiwa amepigwa Picha na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa akipiga Picha kwa kuzingatia utaalamu wa kujiongeza katika utafutaji wa Taswirazz kama aonekanavyo hapo katika ubora wakezz....
Shoto mpiga Picha wetu wa kitaa akiinasa Taswira kwa umakini na utulivu mwanana kabisa..
Hapo alionekana akiwaonyesha Wateja wake alicho kifanya kupitia Kamera yake....
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad