HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 16, 2015

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO, AMOSI MAKALLA APITA OFISI ZA MICHUZI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makalla alipopita kusalimia katika Ofisi za MICHUZI MEDIA GROUP jijini Dar es Salaam leo, mara baada ya kutoka kuapishwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Watatu kutoka kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makalla  akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya MICHUZI MEDIA GROUP jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad