HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 24, 2015

MISIKITI YOTE YA JIJI LA MBEYA YAJUMUIKA PAMOJA KUSWALI SWALA YA IDDIL-HAJJ KATIKA UWANJA WA SOKOINE...

Misikiti yote ya Jiji la Mbeya na Waumini wake wajumuika kwa Pamoja kwa mara ya Kwanza Kuswali Sala ya Iddil-Hajj katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya kama Taswira ineshavyo hapo juu ni Jopo la Waumini wa Dini ya Kiislamu walio jumuika kwa Pamoja Kuswali Sala ya Iddil-Hajj Sala iliyo fanyika mapema leo katika Uwanja wa Kumbukumbu Sokoine ampapo Ujumbe wa Iddil-Hajj kwa Waislamu Wote wa Jiji la Mbeya ni "Tusharehekee Iddil-Hajj kwa Salama na Amani Bila kufanya Maasi yoyote"
Hutuba fubi ya Iddil-Hajj kutoka kwa Ustadh Ibrahim ikitolewa..

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Rpc.Ahmed Z.Msangi akiwatakia Waislamu Sikukuu njema ya Iddil-Hajj pia kusherehekea kwa Amani, Uturivu. na Upendo kwa Waislamu wote wanaosherehekea Sikukuu ya Iddil-Hajj.. 
Baadhi ya Waumini wa Dini ya Kiislamu Mbeya Mjini walio hudhulia Swala ya Iddil-Hajj iliyofanyika leo katika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.. Ng'ombe wa Iddil-Hajj akiandaliwa kuajili ya kuchinjwa....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad