HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 24, 2015

MAMBO YA IDDI HAYA SI MCHEZO KATIKA UANDAAJI WA KITOWEO..

Kijana akikinzana na Kichwa cha Kokoliko ambaye tayari kaisha Binafsishwa tayari kuajili ya Maandalizi ya kupelekwa Kinywani na Mdau huyu Pichani kama aonekanavyo hapo alivyo Naswa na Kamera Yetu katika pilika pilika za hapa na pale za Siku Kuu ya Kuchinja yani Iddil-Haji.
Hapo Kijana akijaribu kutumia Mbinu ya Ziada katika unyonyoaji wa Manyoya kwa Kitoweo chake..
Meno yakitumika kama Nyenzo ya unyonyoaji wa manyoya kwa Kitoweo hicho..
Akimpara Manyoya huku akiwa amejawa na Shahuku kubwa ya kumpeleka Kinywani..
Upasuaji ukiendelea..
Viungo vyote vinafanya Kazi hapo si unaona Ulimi ulivyo mtoka Kijana hapo si Mchezo..
#Kamerayamtaakwamtaablog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad