HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 7, 2015

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA BALOZI WA INDIA NCHINI TANZANIA KWA MAZUNGUMZO, IKULU DAR.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 7, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Balozi wa India Nchini Tanzania, Mhe. Sandeep Arya, baada ya mzungumzo yao yaliyofanyika  Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Sept 7, 2015. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad