Kidume kikijiandaa na Ukapela kwa kununua Nyungo ili mambo yawe mwake upande wake akiwa ametulia peke yake huko Magetoni..
Hapo wauza nyungo wakiwa wamemganda mteja wao maana bila kumganda hivyo anaweza kuhairisha alafu ikawa nongwa tena...#Kamerayamtaakwamtaablog.
No comments:
Post a Comment