HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 6, 2015

WATANZANIA WASHIRIKI WA KONGAMANO LA YOUNG AFRICAN LEADERSHIP WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.

 Watanzania walioshiriki kongamano la Young African Leadership watembelea ubalozi wa Tanzania Washington DC na kupokelewa na mwenyeji wa Balozi Liberata Mulamula.
 Pichani ni baadhi ya washiriki wa kongamano hilo walipokua wakijitambulisha kwa Mhe, Balozi kwani wote wametoka kwenye Nyanja mbalimbali za kitaaluma.
 Washiriki wa Kongamano ambao walikiri kujifunza mengi kutoka upande wa Marekani ambapo wamepata mwanga wa kuweza kuleta mabadiliko nchini Tanzania kutoka na taaluma walizopata.
 Baadhi ya wahudhuriaji wa kongamano hilo wakimsikiliza Mhe Balozi  na yake ya kusema.
Picha ya pamoja washiriki wa kongamano hilo pamoja na Mhe Balozi Liberata Mulamula
Picha na Ubalozi

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad