UKOSEFU ama
upungufu wa nguvu
za kiume, ni tatizo
linalo wakabili mamilioni
ya wanaume duniani.
Zipo sababu nyingi
zinazo sababisha tatizo
la ukosefu wa
nguvu za kiume, Miongoni mwa sababu
hizo ni pamoja
na maradhi kisukari, presha,shinikizo la
damu, moyo, figo, matatizo
kwenye mishipa ya
ubongo & mishipa
ya uti wa mgongo, matatizo kwenye
mishipa itumikayo kusafrisha damu mwilini, maradhi ya
ngiri, pamoja na
upigaji punyeto kwa
muda mrefu.
Katika makala
yetu ya leo, tutaangalia namna
suala la upigaji
punyeto linavyo athiri nguvu
za kiume.
Kabla
hatujaangalia namna suala la upigaji punyeto linavyo maliza
nguvu za kiume, ni
vyema tukafahamu kwanza
kuhusu SAYANSI YA
MFUMO WA NGUVU
ZA KIUME.
Kufahamu kuhusu
SAYANSI YA MFUMO
WA NGUVU ZA
KIUME tafadhali tembelea :
http://neemaherbalist. blogspot.com/2015/07/uhusiano- kati-ya-damu-na-tatizo-la.html
Ukisoma vizuri
kuhusu mfumo wa
nguvu za kiume, utagundua kuwa Suala
la nguvu za
kiume ni suala
la kimfumo. Ili
mwanaume awe na nguvu za
kiume, aendelee kuwa na
nguvu za kiume na
azilinde nguvu zake za
kiume, ni lazima ogani
zote zinazo husika na
mfumo wa nguvu
za kiume ziwe
na afya njema
na ziwe na
ushirikiano thabiti na
wenye afya.
Vile
vile , utagundua kuwa , mambo makuu
muhimu katika mfumo
wa nguvu za
kiume ni kama
ifuatavyo:
i.
Mishipa imara
ya ubongo na
yenye afya njema
ii.
Mishipa imara
ya uti wa
mgongo ( spinal
cords )
iii.
Mishipa imara
itumikayo kusafirisha damu
mwilini ( Blood Vessels )
iv.
Mfumo imara
wa usafirishaji damu
mwilini
v.
Mishipa ya
uume iliyo imara
na yenye afya
njema
vi.
Uhusiano imara
na wenye afya
kati ya mishipa
ya fahamu iliyopo
katika ubongo, mishipa ya
kwenye uti wa
mgongo pamoja na
misuli & mishipa ya kwenye
uume.
Hivyo
basi, ili mwanaume aweze
kuwa na nguvu
imara za kiume, na
aendelee kuwa na nguvu hizo ni
lazima mambo yote
muhimu katika mfumo
wa nguvu za kiume
yawe imara pasi na
hitilafu yoyote.
Hitilafu yoyote
katika mambo hayo, itasababisha ukosefu na/ama upungufu wa
nguvu za kiume
kwa mwanaume huyo.
Pale inapotokea hitilafu ama
mapungufu katika ogani
zaidi ya moja
kati ya zilizo
tajwa hapo juu, basi tatizo
kwa muhusika huwa
kubwa mara dufu.
JINSI
PUNYETO INAVYO SABABISHA
TATIZO LA UKOSEFU &
UPUNGUFU WA NGUVU
ZA KIUME.
Mwanaume anapopatwa na
wazo la kufanya
tendo la ndoa, ubongo
hutoa ishara kwenye
mishipa ya uti
wa mgongo ambayo
nayo husafirisha taarifa
hadi kwenye mishipa &
misuli ya uume.
Mishipa ya
uume inapopokea taarifa hiyo, hutanuka.
Na mishipa
ya uume inapotanuka, hufanya mambo
mawili muhimu sana :
i.
Husababisha mishipa
ya ateri kupanuka
na hivyo kuruhusu
damu kuingia kwa kasi
sana ndani
ya mishipa ya
uume na hivyo
kuufanya uume usimame
na kuwa imara
bara bara.
ii.
Huibinya
na kuiziba mishipa
ya vena na
hivyo kuzuia kunyonya
ama kufyonza damu
iliyo ingia ndani
ya mishipa ya uume.
( KAZI KUBWA
YA MISHIPA YA
VENA ILIYO KARIBU NA
MISHIPA YA UUME
NI KUHAKIKISHA HAKUNA DAMU NDANI YA
MISHIPA YA UUME. HIVYO
BASI DAMU INAPOINGIA
NDANI YA MISHIPA YA
UUME, MISHIPA YA VENA
HU “SENSE” JAMBO HILO KWA
HARAKA NA HIVYO KUIFYONZA
DAMU HIYO KUTOKA KWENYE MISHIPA YA UUME
YA KUITOA NJE YA MISHIPA YA
UUME. NA DAMU INAPOKOSEKANA NDANI
YA MISHIPA YA
UUME, HUUFANYA UUME KUSINYAA
NA KULEGEA)
Mtu anayepiga
punyeto husababisha mambo
yafuatayo katika mwili
wake :
1. Huuwa
nguvu ya mishipa & misuli ya uume ambayo
ndio inayo husika na
kusimama kwa uume2. Mishipa ya uume inapo sinyaa na kukosa nguvu yake ya asili, husababisha mambo yafuatayo :
i.
Huondoa uwezo
wa mishipa &
misuli ya uume
kutanuka, na hii ndio
sababu inayo wafanya
waathirika wa punyeto
kutumia nguvu nyingi
sana katika kuufanya
uume usimame.
ii.
Huondoa uwezo
wa mishipa & misuli
ya uume kuibana
na kuiziba mishipa
ya vena, na hii ndio
sababu inayo fanya
waathirika wa punyeto
kufika kileleni haraka
sana, kwani damu inayo ingia
kwenye misuli ya uume
hufyonzwa ndani ya muda
mfupi sana. Hii hutokea
kwa sababu mishipa na
misuli ya uume inakuwa
imelegea,na mishipa ya
vena inakuwa imepwaya, hivyo msuguano wowote ule hufanya
mishipa ya vena
kufunguka na kufyonza
damu kutoka kwenye mishipa ya
uume na hivyo kuufanya
uume kusinyaa ndani ya dakika ama sekunde chache sana.
3. Vile
vile punyeto hufanya
uume kusinyaa na kurudi ndani
na kuufanya uonekane kama
uume wa motto mdogo.
Kwa ufupi
punyeto husababisha ukosefu
wa nguvu za
kiume kwa sababu
kuu zifuatazo :
i.
Kwanza hudhoofisha
na kuharibu mishipa
ya uume, ambayo
ndio hufanya uume kusimama.
ii.
Pili hudhoofisha
utendaji kazi wa
mishipa ya ateri, ambayo
ndio hutumika kama
njia ya kusafirisha
damu kupeleka kwenye misuli ya
uume na ivyo
kuufanya uume usimame
iii.
Tatu,
punyeto hupelekea kuvuja
kwa mishipa ya
vena na hivyo
kusababisha damu kufyonzwa
kwa haraka sana
kila iingiapo ndani ya
misuli ya uume na
matokeo yake ni
uume kusimama kwa
muda mfupi sana
wakati wa tendo la
ndoa.
iv.
Punyeto huathiri
mtiririko wa damu
kwenda kwenye mishipa
ya uume, kwa sababu
hudhoofisha misuli & mishipa
ya uume pamoja
na mishipa ya ateri ambayo
ndio hutumika katika
kusafirisha damu kwenda kwenye
uume
DALILI ZA
MTU ALIYE ATHIRIWA
NA PUNYETO
Dalili kuu
za mtu aliye athiriwa na
punyeto ni kama
ifuatavyo:
i.
Uume kusinyaa
na kuwa kama
wa mtoto
ii.
Uume
kurudi ndani
iii.
Uume kusimama
ukiwa legelege
iv.
Kufika kileleni
haraka wakati wa
tendo la ndoa.
TIBA
YA NGUVU
ZA KIUME KWA MTU
ALIYE ATHIRIKA NA
PUNYETO.
Dawa
asilia ya
nguvu za kiume iitwayo JIKO ni tiba
bora na ya
uhakika kabisa kwa
mtu aliye athiriwa
na punyeto. Dawa
hii, pamoja na mambo
mengine mengi, husaidia kufanya
mambio yafuatayo katika
mwili wa mwanaume
aliye athiriwa na
punyeto :
i.
Kuimarisha mishipa
& misuli ya uume
ulio legea na hivyo
kuurejeshea uwezo wake wa asili
ii.
Hutibu
tatizo
la uume kurudi
ndani
iii.
Humaliza tatizo
la kusimama kwa
uume ukiwa legelege
iv.
Hutibu na
kuponya kabisa tatizo
la kufika kieleleni
haraka.
BEI
YA DAWA :
Dawa hii inapatikana
kwa gharama ya
SHILINGI ELFU THEMANINI
TU
(Tsh. 80,000/=)
MAHALI INAPOPATIKANA : Dawa
hii inapatikana katika
duka la dawa
asilia liitwalo NEEMA
HERBALIST & NUTRITIONAL
FOODS CLINIC lililopo
jijini DAR ES
SALAAM katika eneo
la TABATA MAKOKA
karibu na SHULE YA
SEKONDARI YA MT. ANNUARITE.
Kwa
wateja wasio weza
kufika ofisini kwetu. Watafikishiwa dawa
mahali popote walipo
jijini DAR ES
SALAAM.
Kwa wateja
waliopo mikoani watatumiwa
dawa kwa njia
ya MABASI
Kwa
wateja waliopo Zanzibar
wata fikishiwa dawa kwa
njia ya usafiri
wa boti.
Na
kwa wateja waliopo
UGHAIBUNI watatumiwa dawa
kwa njia ya
POSTA ama DHL.
MAWASILIANO : WASILIANA
NASI KWA
SIMU NAMBA 0766
53 83 84.
Kwa
taarifa zaidi kuhusu
huduma zetu, tutembelee kwenye
blogu yetu :
www.neemaherbalist.blogspot. com


Naomba msaada wenu Mimi ni menase wa bahari beach je juma pili mnafanya kazi na mwisho saa ngapi
ReplyDelete