Haya sio mashindano ya magari na maguta.
Usafiri wowtote unaruhusiwa bora kufika mahari niendapo, jamaa akiwahi eneo la tukio.
Kamera ya mtaa kwa mtaa ikiwa katika soko la kuuza matunda mbalimbali jijini Dar es Salaam leo. Tunza afya yako kwa kula matunda kila siku.
Picha na
Emmanuel Massaka,Mtaa kwa mtaa.
No comments:
Post a Comment