Kamera ya mtaa kwa mtaa ilimnasa mdau huyu pichani jina lake kapuni akibwabwaja maneno na mtu aliopo pembeni yake hayupo pichani huku akiwa na rumbesa la tonge la ugali mkononi na mdomoni, kipindi cha nyuma ilikuwa ni mwiko unapo kuwa unakula kubwabwaja bwabwaja lakini kwa sasa hayapo tena maadili ya kula chakula kulinganisha na kipindi cha nyuma...
Saturday, August 1, 2015

Home
Unlabelled
SIKU HIZI KUONGEA MTU HUKU UNAKULA NI JAMBO LA KAWAIDA KABISAA..
SIKU HIZI KUONGEA MTU HUKU UNAKULA NI JAMBO LA KAWAIDA KABISAA..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment