Rais
Jakaya Mrisho kikwete (katikati walioketi), akiwa katika picha ya pamoja na
timu ya soka ya Azam FC, viongozi wa timu hiyo na wale wa wizra ya Habari,
Utamaduni, Vijana na Michezo, walipofika Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 6, 2015 kumkabidhi
kombe la ubingwa wa soka Afrika Mashariki maarufu kama kombe la Kagame ambalo
Azam ililitwaa hivi karibuni
Rais
Jakaya Mrisho kikwete akikabidhiwa kombe la ubingwa michuano ya Kagame ya CECAFA na nahodha wa mabingwa
wa Tanzania Azam FC walipofika Ikulu jijini Dar es salaam kumkabidhi kombe hilo
Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 6, 2015.




No comments:
Post a Comment