Hii ndiyo tabu ya kuja Mjini bila taarifa matokeo yake ndiyo kama haya yaliyo mkumba kijana huyu ambae hakufahamika kwa majina Kutoka kijiji cha Jirani akiwa Solemba kumsubili mwenyeji wake kwa kupozz mapozz tofauti tofauti kuona ni wapi nduguye anachomoza...Picha na Mtaa Kwa Mtaa blog.
"Hifii wanafikilia ninii hawa mimi mpaka sasa napigwa jua hapa kama kambale.."
Jua lake leo..
"Mh..Ningelikuwa na nauli nyingine ningerudi tuu nilipo toka seee"
Kuchukuliwa hapo sio leo kambi inaendelea hapo kwa Mdau huyu sambamba na Mizigo yake..







No comments:
Post a Comment