HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 9, 2015

MUWA BEGANI MENGINE BAADAEE....

Kamera ya Mtaa kwa mtaa Blog ilipata kuzinasa baadhi ya Taswirazz Tofauti tofauti kwa Vijana wapenzi na watumiaji mahiri wa Tunda Muwa Wakikata mitaa huku wakiwa na muwa begani kama aonekanavyo Mdau huyo Pichani akiwa na Muwa wake Taratibu akijongea..
Muwa kwanza mengine baadaee...
Muwa ndio Zana kazi ya pili Kwa mdau huyo pichani..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad