HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 3, 2015

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NA TASWIRA ZA ASUBUHI LEO.

Asubuhi hii leo baada ya kulala na vyakula mbalimbali mdomoni wakati wake sasa wa kuyaondoa hayo yote,kama alivyokutwa na kamera ya mtaa kwa mtaa jijini Dar es Salaam leo.
Usafi wa vyombo ukiendelea kama alivyokutwa anivishwafi vyombo kama alivyokutwa na kamera ya mtaa kwa mtaa leo jijini Dar es Salaam.
 Mtalo unaotumika kama dampo katika mtaa wa Maziwa mazese jijini Dar es Salaam.
 Nywele zikiwa zimetupwa katika mtaro wa maji taka wa mtaa wa Maziwa Mazese jijini Dar es Salaam, kama alivyo Kamera ya mtaa kwa mtaa ilinyomulika katika mtaro huo jijini Dar es Salaam leo.
 Maji hufuata mkondo siku zote na kwa hali hii sijui kama yataona njia.
Picha na Avila Kakingo, Mtaa Kwa mtaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad