Dereva wa pikipiki maharufu kama bodaboda akiwa sambamba na mteja wake pamoja na lumbesa la mizigo ya mabegi huku akimuhakikishia mteja wake juu ya ubora wa kipando chake bila kuacha mzigo hata mmoja.. hapo walionekana wakisubiri jambo..
No comments:
Post a Comment