Wauzaji na wachomaji wa mkaa eneo la mto isanga uliopo katikati ya sumbawanga tunduma wakiwa katika shughuli zao za kila siku katika kilinge chao eneo la isanga kama ambavyo wamenasuliwa hapo juu na kamera ya libeneke lako pendwa la mtaa kwa mtaa blog na kukuwasilishia wewe ndugu mdau ujionee shughuli za wauzaji na wachoma mkaa eneo hilo wanavyo ziendesha shughuli zao..Picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mtaa Kwa Mtaa.
Wachoma mkaa hao wakiwa katika hatua ya kubinafsisha moja ya gunia lenye mkaa kupeleka kwa mteja alie waagiza..
Wakiwa katika mkao wa kula..
Hapa wakijaribu kutumbukiza moja ya gunia lenye mkaa kwenye sanduku la mchuma ulio funguliwa hapo...
mkao wa kuitwa hapo..
wachoma mkaa hao wakicheza na vinywa vyao kwa kutafuna viazi vya kuchomaa..
Wao huwa wakimaliza kumuhudumia au kuwahudumia wateja wao huwa wanateremka kwenye kambi yao kuendelea na uchomaji wa mkaa huku magunia mengine ya mkaa wanayaacha barabarani kama magunia hayo yaonekanavyo hapo sasa wewe jitie ujanja wakuchukua uwone balaa lake....
No comments:
Post a Comment