HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 12, 2015

UGENI MTAANI KWETU..


Ndugu wawili walinaswa na kamera yetu wakiwasili mtaani kwetu huku wakiwa na mizigo sambamba na zawadi ya mwenyeji ndoo ya mafuta na hii inadhihirisha dhairi ule usemi usemao mgeni njoo mwenyeji apone...
wakiwa taratibu kuelekea nyumba za juu kulee...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad