HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 15, 2015

PPF YAFUTIRISHA WAFANYAKAZI WAKE KUONYESHA MSHIKAMANO

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (wapili kushoto0, akichukua futari wakati alipowaandalia futari wafanyakazi wake kwenye hoteli ya city garden jijini Dar es Salaam. PPF imekuwa na utaratibu kama huo wa kuwaandalia futari wadau wa Mfuko huo hali kadhalika wafanyakazi wake, kila mwaka ili kuonyesha mshikamano wa pamoja
Mmoja wa wafanyakazi akityoa shukrani kwa niaba ya wwenzake baada ya futari hiyo
Erio, akizungumza mwishoni mwa hafla hiyo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad