Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Bariadi, Mh. Pansiano Nyami akishukuru Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) baada ya kupokea msaada wa dawa, vifaa Tiba na mashuka. Ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa huduma za madaktari bingwa katika mkoa huo. Uzinduzi huo ulifanyika Julai 7, 2015.

Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF,Dkt. Frank Lekey akizungumza kabla ya uzinduzi wa mpango huo mkoani Simiyu.


No comments:
Post a Comment