Mdau katika taswira akikata mitaa sambamba na mzigo wake wa majiko akiwa amejitwika katika kichwa chake huku jingine likiwa mkononi mdogo mdogo kuelekea kunako husika kama alivyo naswa hapo na kamera yetu ya mtaa kwa mtaa blog..
mwendooo ni mdogo mdogoo..
No comments:
Post a Comment