HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 22, 2015

MZEE WA SOP SOP SUMBAWANGA MJINI...

Kamera ya mtaa kwa mtaa ilitembelea kituo kimoja cha kuosha magari mjini sumbawanga mkoani rukwa na kujionea shughuli nzima katikafani ya kuosha magari kwa kijana huyo pichani jina lake kapuni akitumia ujuzi na kipaji chake katika fani ya kuosha magari mjini hapo....picha na Mtaa Kwa Mtaa blog.
hapo kijana huyo akitumia maji makali (maji ya pampu) kutakatisha gari hiyo aina ya Noah..
maji makali..
mwenye gari akitoa maelekezo kwa kijana huyo..
mwenye noah sasa akiangalia mchuma huo jinsi ambavyo povu linabugujika..
mwenye gari hapo alionekana kumuharakisha muoshaji ili awahi kwenye mnada kwani yeye ni muuza mtumba kamaalivyo onekana hapo akiwa ameshika mzigo kuajili ya kuingia mzigoni..
kijana akipiga maji makali upande wa nyuma..
chombo hapo sasa ikiwa ina meremeta mara baada ya kupata sop sop yanguvu...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad